Wednesday, March 28, 2012

EVANS BUKUKU LIVE COMEDY SHOW YALISHIKA JIJI

Evans Bukuku akiwavunja mbavu... yani hapa unabonyeza hivi...

Msanii wa muziki Carolla Kinasha ndiye aliyekuwa ni mshereheshaji katika Evans Bukuku Live Comedy Show iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.

Wageni waliohudhuria katika Evans Bukuku Live Comedy Show wakivunjika mbavu kwa vicheko.

Mmoja ya wachekeshaji mahili katika kundi la Evans Bukuku Live Comedy, Dogo Pepe akionyesha manjonjo yake.

Wacha weeee... kila mmoja alikuwa na namna yake ya kucheka.

Mshereheshaji Mahiri wa Evans Bukuku Live Comedy Show, Taji Liundi akiongea na wageni waliohudhuria katika Evans Bukuku Live Comedy Show iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.

Manjonjo ya kutosha aliyatoa

Watu walijiachia kwa raha zao.

Unajua lazima ufanye hivi....

hahahahahahahahaha

...Kumbe jamaa anajua na kuimba... ila ni full vituko. Picha zote/ www.kajunason.blogspot.com