Picha ya furaha na smile za wadau kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012. |
Picha part TWO ya furaha na smile za wadau kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012. |
Mtunukiwa Edgar Jonas Mapande akimlisha keki Eva Mbaga huku mama wa mtoto huyo Gisele Mbaga akishuhudia tukio hilo muhimu la kumbukumbu. |
Picha ya familia. |
Mtunukiwa Edgar Jonas Mapande akipata picha ya pamoja na familia ya Bw. John Mbaga (R) ambaye ni CEO wa Bayport Financial Service Ltd, kulia ni mkewe Gisele Mbaga na mtoto Eva Mbaga. |
No comments:
Post a Comment