Full Ubunifu toka kwa wanavyuo washiriki. |
Wowu...!!! |
Kama mamtoni vile..!! |
African thing...!! |
Kaba penati...!! |
Wadau mbalimbali waliohudhuria Tamasha hilo wakifuatilia kwa umakini.. |
Burudani ilidondoshwa na Ngosha The Swagga Don Fid Q. |
On the one and two alisimama DVJ Denis' wa Rock Bottom. |
Washindi wa Mitindo kwenye Redd's Uni-Fashion Bash, na mikwanja yao katika Tamasha lililofanyika kwenye Bustani ya Charcoal Ribs Beach Resort jijini, Mwanza. |
Wadau mbalimbali waliohudhuria Tamasha hilo lililofanyika kwenye Bustani ya Charcoal Ribs Beach Resort jijini,Mwanza. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI |
No comments:
Post a Comment