Sunday, November 3, 2013

KHADIJA KOPA NA ISHA MASHAUZI WALIVYO ITIFUA VILLA PARK

Isha Mashauzi akikisanukisha ndani ya Villa Park Mwanza katika usiku wa Taarabu Nani zaidi kati yake na Khadija Kopa.
Khadija Kopa akiimba na mashabiki wake katika usiku wa Taarab Nani zaidi kati yake na Isha Mashauzi.
Mzuka wa taarab...
Watu weeeeee......!!!
Hapa ilikuwa hatariii...Isha na Shabiki ake.
Mambo ya midundo...!
Khadija ni kwa hisia zaidi...
Shabiki wakituoka kumtunza ngawira...
'Ni Mpambano usio rasmi'

Khadija Omary Kopa akimzawadia  chupa ya kinywaji cha Zanzi mmoja kati ya mashabiki waliotinga Villa Park usiku wa Taarabu Nani zaidi. Wa kwanza Kulia ni Meneja wa Villa Park Mwanza 'Manager Ramma' 
Khadija Omary Kopa akimzawadia  chupa ya kinywaji cha Zanzi mmoja kati ya mashabiki waliotinga Villa Park usiku wa Taarabu, kushoto katika picha anaonekama Mc Mama Steve.
Isha Mashauzi akimzawadia  chupa ya kinywaji cha Zanzi mmoja kati ya mashabiki waliotinga Villa Park usiku wa Taarabu Nani zaidi. Zanzi ni Sehemu ya Wadhamini wakuu wa burudani hii.
Isha Mashauzi akimzawadia  chupa ya kinywaji cha Zanzi mmoja kati ya mashabiki waliotinga Villa Park usiku wa Taarabu Nani zaidi. Zanzi ni Sehemu ya Wadhamini wakuu wa burudani hii.
Mc Magoma akimwaga sera zake kwa wadau waliohudhuria Usiku wa Taarabu Villa Park Mwanza.
Ze colour ya nyomi iliyotinga hapa.
'Rusha roho usitupe .......'
Bob White mkali wa pamba za mabinti dunia nzima (L)  na prizenta wa Passion Fm Philbert Kabago, wakishow love kwa kamera ya G. Sengo Blog.
Mashauzi (L) na Mc Mama Steve (R)
Khadija Omar Kopa (L) na Blooger & Prizenta wa RFA Kijukuu  cha bibi....Haha-ha..
Kulia na kushoto ni Maticha wa masuala ya cat-wox na mitindo Mwanza wakiwa na mdau wao pale kati

"Niruke nisiruke....?"

No comments:

Post a Comment