Ni Birthday party ya mfanyabiashara mdogo Edward aliyetimiza umri wa miaka 27 akiwa ameketi na mama yake mzazi kwenye meza kuu. |
Lango la kuingilia ambapo kulikuwa na zuria jekundu (red carpet) ambapo ilikuwa ni fursa kupiga picha kwaajili ya kumbukumbu ya kuzaliwa Edward. |
'Tumbuizo kali' Ya kwanza ilikuwa ni kutoka kwa msanii wa Bongo fleva Tunda Man ambaye alidrop jioni kwa pipa' hapa Rock City kwaajili ya shughuli moja tu... burudani |
Ni kundi alikwa toka nyumbani Mwanza na mambo ya 'Azonto' |
Wageni waalikwa na vijiti midomoni ikimaanisha wamekula wakashiba na vinywaji tele mezani.... |
Safiiiiiiii.. |
Kuhusu mazazi ilikuwa ni full kulipuka uwezavyo. |
Burudani. |
Jamaa alikamua Hip hop ragga ya hatari akichagizwa na madensa wake waliokuwa wakicheza kwa style ya tofauti kabisaaaa.... |
De nyu style... |
'Tunakukubali' ni kama kauli ya mashabiki ...shereheni. |
Starehe gharama... |
Mzuka..! |
Mwaga radhi... |
Another Mc was Mr. Blue...Yooo...! |
Mc mkali ngoma kali.....! |
Hapo vije?... |
Hatareee...! |
minato ya Blue. |
Mpala kuleeeee..... |
Ze nyomi na area ya birthday ambapo ngoma ilikwenda mpaka saa tisa usiku mnene. |
No comments:
Post a Comment