John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi.
It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band,
Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa live#
Come and experience good music from our young talented singers #Aneth Kushaba #John music & #Ashura #Sony Masamba #Sam Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live...ni balaaaaa na si ya kukosaa..
See you there #goodmusic #goodpeople
Sam Mapenzi katika hisia kali kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village-Masaki jijini Dar.
I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I, Love You,....(Aiyayaaaaa)
I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I Love You,.....(Aiyayaaaaa)..I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I Love You, (Aiyayaaaaa),...I'm Going Koo Koo, Na Sijishuku I, I Love You......Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (katikati) kwa kushirikiana na Sam Mapenzi akitoa burudani kwa mashabiki wao ndani ya kiota cha Thai Village, Ijumaa iliyopita huku Ashura Kitenge akipiga back vocal.
Baby Take Me, Nitembee Nawe....... burudani ikiendelea.
Ashura Kitenge (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku Aneth Kushaba AK47 na John Music wakimpa sapoti ya back vocal.
When Jesus say, "Yes," nobody can say, "No.".....When Jesus say, "Yes," nobody can say, "No.".... njoo umshuhudie Aneth Kushaba AK47 anavyoitendea haki hii nyimbo leo.
Ni kweli waliokuona Kariakooo...ukikumbatiwa na wavulana....Rapa mkongwe wa muziki wa Live Joniko Flower akiwachezesha gwaride waimbaji wenzake kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 na Sony Masamba.
Mashabiki wa Skylight Band wakichizika na burudani kali iliyoenda shule yenye viwango na ubora wa kimataifa ndani ya kiota cha Thai Village ni kila Ijumaa ya wiki kuanzia saa tatu usiku mpaka usiku mwingi.
John Music akifanya yake jukwaani.
Mpiga drum wa Skylight Band, James Kibosho jamaa ni balaaaa.
Mratibu wa Skylight Band, Lubea akishow love na murembo ambaye ni shabiki wa ukweli wa Skylight Band.
Mashabiki wa Skylight Band wakipata ukodak.