Wednesday, March 28, 2012
EVANS BUKUKU LIVE COMEDY SHOW YALISHIKA JIJI
Thursday, February 16, 2012
VALANTINE AT GOLD CREST HOTEL MWANZA
Promota Dj Ally Coco kutoka Coco Entertainment akikabidhi zawadi ya Tiketi ya ndege kwenda na kurudi kupitia shirika la ndege la Fly 540 kwa mshindi wa droo ya usiku wa Valentine.
Mtu mzima King Kikii alizikonga nyoyo za mashabiki wa muziki wake.
King Kikii alishirikiana na vijana wa Hill Way Band kumwaga burudani.
Ni wakati wa Kitambaa cheupe.
Meneja wa Gold Crest Hotel bi Elizabeth akitangaza washindi wawili aliojishindia zawadi ya kulala usiku mmoja hotelini hapo kupitia shindano la kucheza muziki.
Meza yetu kutoka kulia ni Wife, mie na shem Jackline.
Meza ya marafiki na dinner.
Mwanamuziki King Kikii, Dj Ally Coco na Meneja wa Gold Crest Hotel Bi. Elizabeth wakibadilishana mawazo.Sunday, January 1, 2012
KWA WADAU WOTE
Salaam salaam na Chereko.
Saa sita usiku siku mpya tarehe 1.jan/2012 Leaders Club jijini Dar es salaam nchini Tanzania watu waliukaribisha mwaka kwa milipuko ya mabaruti na mafataki hewani.
Time Square huko New York nchini Marekani, Mvua ya maua ikianguka kusherehekea January 1, 2012.
Mwanza tuliivu leo..
Jiji la Mwanza juu kwa juu kama linavyoonekana leo asubuhi tarehe 1/january/2012.Monday, December 26, 2011
MANENO OSWARD VS RASHIDI MATUMLA AKUNA MBABE POINT 99 KWA 99 DROO
Saturday, December 24, 2011
AMINI USIAMINI KITU KIPYA CHENYE HADHI YA KITALII NA BEI NAFUU NDANI YA MAGU MWANZA
Ni kiota kipya kabisa kimefunguliwa ndani ya wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza eneo linaitwa Cadillac hotel.
Mazingira mazuri ndani na nje huku ukipatiwa huduma safi toka kwa wahudumu waliobobea.
Korido za kuelekea vyumbani.
Cadillac mazingira.
Flamingo ni Moja ya vyumba classic hotelini hapa.
Usingizi mwananaZZZzzzz!!!
Suitabo bediZZZzz!!
Ukumbi wa kisasa wa mikutano unapatikana hapa.
Bustani bar iliyosheheni mashamsham ya pekee.
Hii ni bar yenye kila aina ya vinywaji inayopatikana ndani ya bustani tuliiivu Cadillac Magu Mwanza.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu +255282530300
mobile +255786777618
Tuesday, December 13, 2011
HAPPY BIRHTDAY FATMA SHEMWETA WA STAR TV
Huu ndiyo Mkate wa nakshi ya sukari wa Fatma Shemweta katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika ukumbi wa VIP The New Stone Club Mwanza.
Fatma na Husna.
Mtangazaji wa Star Tv Fatma Shemweta (R) na shosti wake The Platnum (L).
ZE MilipukozZZZz!!
ChiazZZZzzz!!!
Kitu cha Dance' pale kati.
Kutoshea idadi keki ilikatwa 'mapande makumi mawili na saba'.
Fatma akilishwa keki na Beste'.
To the Mc.
Tamu ya mkate wa sukari.
www.gsengo.blogspot.com
Meneja wa The New Stone Club, Dj Ally Coco naye alionja utamu wa keki.
Keki kwa dada.
The Big Top Ten akilishwa keki.
Platinum na shukurani kwa mtoto.
Mtoto akipokea zawadi spesheli.
Mtu muhimu sana' Mr Kaiza naye alijumuika vyema tena sana.
Mc wa shughuli alikuwa na mikogo kinomanoma, na hili ndilo pozi la kukabidhi mzigo.
The Crew na Sahara Communication.
Safu ya mashosti...
Subscribe to:
Posts (Atom)