Nesta Sanga ni moja kati ya waimbaji waliosisimua ndani ya Gospel Festival tizama watu wa Mungu walivyomzunguka wakiimba naye. |
Hapa raha ya ufufuko ilimvuvia kila mmoja. |
Mwimbaji nesta Sanga akiimba wimbo ujulikanao kwa jina Twendeni huku akipewa sapoti ya kutosha. |
Sura za watumishi wa muziki wa Injili zikiranda huku na huko kudadisi yanayoendelea. |
Wananchi hawakupitwa na shughuli za uwekaji kumbukumbu. |
Jamani rahaaaaaaaa....Ndiyooooo.... |
Moja ya kwaya za jijini Mwanza zikihudumu. |
Mwimbaji anayesisimua katika muziki wa injili akitamba na wimbo 'Zunguka' Enock Jonas akishusha upako... |
Meza kuu ikijadili jambo. |
Zunguka, zunguka, zunguka, zunguka eeeeeeeeeh!!!!! |
No comments:
Post a Comment