Tuesday, September 27, 2011

MBWANA NA MIYAYUSHO WATAMBULISHA MPAMBANO WAO

Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) naMbwana Matumla kulia wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Mabara (UBO) Dar es Salaam , utakaofanyika mwishoni mwa mezi ujao katikati ni mratibu, Mohamed Bawazir.(picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

(SUPER D)
DIRECTOR
www.burudan.blogspot.com
BURUDANI MWANZO MWISHO
P.O Box 15493
DAR ES SALAAM