Monday, December 17, 2012

EDGAR MAPANDE ALA NONDO

Edgar Mapande mara baada ya kutunukiwa pichani akiwa na Naibu Waziri wa Nishati na madini, mbunge wa Shinyanga mjini Mh. Steven Masele ambaye alikuwepo kuweka hamasa ya vijana kuthamini elimu, wengine kulia ni mwenyekiti wa serikali za mitaa eneo la Kunduchi Benedict Tibehenderwa, na kushoto ni bw. John Mbaga ambaye ni CEO wa Bayport Financial Service Ltd ambao nao walihudhulia maafali hayo.  AEdgar Mapande mara baada ya kutunukiwa katika picha ya furaha mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Master Of Science in Marketing kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.


Edgar Mapande akiwa na dada yake Oliver J. Ryanna (Mrs Albert Sengo), katika picha ya furaha mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Master Of Science in Marketing kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.


Picha ya furaha na smile za wadau kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.


Picha part TWO ya furaha na smile za wadau kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.

Mtunukiwa Edgar Jonas Mapande akimlisha keki  Eva Mbaga huku mama wa mtoto huyo Gisele Mbaga akishuhudia tukio hilo muhimu la kumbukumbu.


Picha ya familia.


Mtunukiwa Edgar Jonas Mapande akipata picha ya pamoja na familia ya Bw. John Mbaga (R) ambaye ni CEO wa Bayport Financial Service Ltd, kulia ni mkewe  Gisele Mbaga na mtoto  Eva Mbaga.No comments:

Post a Comment