Monday, November 4, 2013

BORN FIRE YA PILSNER LAGER KING OF BOLD CHUO CHA SAUT NOMA SANA...!!!

Fundo...agudu..agudu...!!
Roma Mkatoliki alikinukisha ile ile kwenye Tamasha la born fire chini chini ya Udhamini mnono wa Serengeti Breweries kupitia kinywaji chake cha Pilsner Lager King of Bold, tamasha likifanyika viwanja vya Raila Odinga chuo cha SAUT Nyegezi jijini Mwanza.
Burudani inapokolea....
Hisia za Roma.
Hip hop...!!!
Moo Music ni moja kati ya wakali wa Mwanza aliye wachengua Wanasaut kinoma noma.
Kassim Mganga naye alizuka ndani ya Tamasha la Born Fire lililonuia kuwakaribisha wanachuo mwaka wa kwanza wa vyuo mbalimbali nchini.
aaaaah saa mingi umepanda...!!!
Jambo Squard walifunika mbayaaa viwanja vya Raila Odinga Chuo cha SAUT jijini Mwanza. 
Jambo Squard wakilishambulia jukwaa pamoko.
"Ah kacha..kacha..kacha twanasa kumbukumbu"
"Mamong'o manjeree machalii ya R....aaah ... ah"
Ilichezeshwa droo kwa wanachuo walio shiriki kujiandikisha Member wa Born Fire mshindi akaibuka na ......
Huyu ndiye mshindi wetu akikabidhiwa zawadi yake na wadhamini Serengeti Breweries kupitia Pilsner Lager.
Eh bana si ndiyo hiiii......!!!
Chama choma zilikuwa za kutosha tena za ujazo imagine mshkaki mmoja mzito shilingi 500/= tu walichinga ng'ombe wawili.
Dj is doing his thing...!!
SAUT reprezenhe..'
Burudani ya wanavyuo na Hip hop.
Vipaji vya wanavyuona levo za 'udosini'
Mahaba ya kidosi.
Battle ya ma mc ambapo mwisho wa siku jamaa aliyesimama kulia ndiye aliyeibuka kuwa mshindi. 
The Nyomi ya SAUT na Born Fire Concert.
Kitu cha Pilsner.
Show love kwa blogu.
Hip hop thing.
The area.
Party dizain flani.
Born Fire hakuna baridah!
The crew ya Serengeti Breweries na wadau wake wakishuhudia moto mkubwa uliowashwa ukimaanisha kukaribisha wanachuo mwaka wa kwanza.
The Born Fire.

No comments:

Post a Comment