Bondia Rashidi Matumla (kushoto) akiwa chini baada ya kuteleza uku mpinzani wake Maneno Osward akimsubili kwa ajili ya kumpiga wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.

Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Maneno Osward (kushoto) akimuacha Rashidi Matumla chini baada ya kuanguka kwa kuteleza wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Bwiga wa Mbwiga na Timu ya Sports X-Tra akipata kipande cha keki huku akishuhudiwa na na Ephraim Kibonde, Edo Kumwembe na Shaffi Dauda.
Kutoka kushoto Kibonde, Edo Kumwembe, Shaffi Dauda, Mbwiga, Alex luambano, Joff Lea na Abdul Mohamed.
Kipindi cha XXL nacho kilijitanua mida yake kutoka shoto ni B.12, Bobb Jurnior, Madee na Dj Fetty.
Adam Mchomvu aka 'Baba JONIii' (R) akijitanua na Maunda Zoro (kati) naye Mwalimu wa Waalimu Banza Stone.
THE CREW wakipata flash.
Leo Tena si ndiyo hawa Gea Habib(L), Dina Marious(C) na Husna Abdul(R).
"Amka kumekuchaaaa" PJ(L), Babra Hassan(C) na Bonge(R).
Shughuli ilianzia asubuhi katika kipindi cha Power breakfast na Hapa PB ilikuwa ikiisha na wakatukaribisha timu leo tena.