Sunday, January 1, 2012

KWA WADAU WOTE

Salaam salaam na Chereko.


Saa sita usiku siku mpya tarehe 1.jan/2012 Leaders Club jijini Dar es salaam nchini Tanzania watu waliukaribisha mwaka kwa milipuko ya mabaruti na mafataki hewani.

Time Square huko New York nchini Marekani, Mvua ya maua ikianguka kusherehekea January 1, 2012.

Mwanza tuliivu leo..

Jiji la Mwanza juu kwa juu kama linavyoonekana leo asubuhi tarehe 1/january/2012.

No comments:

Post a Comment